↧
LINNAH AMINI KUADITHIA HISTORIA YAO YA MAPENZIJUKWAANI JUMAPILI HII
↧
ZINAZOFANYA POA WIKI HII KWENYE BONGO MOVIES
↧
↧
MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA NEW MAISHA CLUB MTWARA NA EPIQ BSS
↧
LEO NDIO NEW MAISHA CLUB DAR PATACHIMBIKA BILA MAJEMBE
Yale ma mixing ya ajabu na milazo yakufa mtu plus dvd mixing za bure za top video vol 1 iliotengenezwa na kumixiwa na kili xtreme deejayz the bad man dvj majey na hyperman hk zitatolewa bure mlangoni kwa kila atakaeingia ndani new maisha club dar usiku wa leo kwa kiingilio cha buku 10 tu unapata burudani zote hizo na mazawadi kibao kutoka kwa KILIMANJARO premium lager BONGE LA KIBURUDISHO KWA WATANZANIA.
↧
ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSU KUMNUNULIA GARI PENNY AMBAE NI MAMA WATOTO WAKE MTARAJIWA
Kupitia segment ya U Heard ya XXL Clouds FM na Soudy Brown, mwimbaji Diamond Platnums ambae aliongoza kwa kuwa msanii wa bongo alieandikwa sana kwenye internet mwaka 2012 amethibitisha kumnunulia mkoko mama watoto wake mtarajiwa.
Soudy Brown alimuuliza kuhusu fununu za kutumia Milioni 15 kununua gari la mke wake mtarajiwa mtangazaji Penny ambae kwa sasa ni mjamzito.
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake”![]()
Alipoulizwa kuhusu kumuoa na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini ila Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana mtoto akazaliwa ndani ya ndoa pia
↧
↧
DIAMOND NEY WA MITEGO WAMCHANA TENA CHID BENZI KWENYE MUZIKI GANI
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
ALICHOKISEMA LULU KUHUSU KANUMBA KWENYE ACOUNT YAKE YA TWITTER
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
↧
YANGA YAZIDI KUKAA KILELENI SASA YAFIKISHA POINTS 48
Ni wazi kuwa sasa Yanga hawakamatiki baada ya kuzidi kujikita kileleni kwa ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya maafande wa Ruvu Shooting. Bao pekee la Yanga katika mchezo huo lilitiwa kimiani katika dakika ya 48 na Hamis Kiiza baada ya kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Frank Domayo kumkuta. Kwa matokeo hayo Yanga inafikisha pointi 48 huku ikifuatiwa na Azam wenye point 37 wakati watani wao wa jadi Simba wakiwa nafasi ya tatu na pointi 34
↧
WANACHAMA WA SIMBA WAUNG'OA MADARAKANI UONGOZI WOTE WA JUU MCHANA HUU
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
KILI XTREME DEEJAYZ KUHADHIMISHA MWAKA MMOJA WA BURUDANI NEW MAISHA CLUB MTWARA
↧
↧
MAPENZI YAMEPATA MAHAKAMA NI JUMAPILI HII@ NEW MAISHA CLUB DAR
↧
BREAKING NEWS TRAFIC AGONGWA NA GARI NA KUFA PAPO HAPO MAENEO YA BAMAGA
↧
KILI XTREME DEEJAYZ WAMWAGA DVD ZA BURE NEW MAISHA CLUB
Ilikuwa ukiingia tu mlangoni chakwanza unapata dvd yako bure kabisa ya top video vol one
Ladynaa mutoto mulito,Esma platnum,na toto lakiburundi wakiwa na top video zao kutoka kwa kili xtreme deejayz
salma msafi akiwa na dvd yake ya top video
Esma platnum na ladynaa kiboko yao
T bway na mchizi wake walikuiwepo kwenye usiku wa kopo
Mnyama mbishi mwiite duwe santana aliwakilisha vyakutoshasana
HyperMAN hK AKIONYESHA uwezo wake wa hali ya juu kwenye hypeng za kisasa kabisa akiwa na dvj majey the bad man
T BWAY na OMMY CRYZE
Muro,fred,ommy crayze na castama care
hyper hk naduwesantana wakifanya yao
↧
Vanessa Mdee Na MwanaFA Ndani Ya Studio... maandalizi yakufanya mambo makubwa...
Jana usiku it was one of those nights to remember kwani Vanessa Mdee recently known better as VeeMoney alikuwa studio with your favorite cousin, MwanaFA... BIG TINGS!!!
Vee, that lady anaefanya vizuri sana kwa sasa na ngoma yake ya CLOSER [ranked as one of the most downloaded song this year] alikuwa MJ RECORDS na FA wakirekodi ngoma ya pamoja ambayo bado haijajulikana...
MwanaFA crackin' it down...

VeeMoney ndani ya booth...
MwanaFA and Vee...
↧
↧
BAADA YA KUJIFUNGUA AMBER ROSE AJIACHIA KITAANI
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
LEO NI SIKU YA KUZALIWA MAREHEMU SHARO MILIONEA,TUMUOMBEE HUKO ALIPO APUMZIKE KWA AMANI MAHALA PEMA PEPONI
INNALILLAH WAINNAILAH RAJIUN
Manager wa marehemu SHARO MILIONEA- HYPERMAN HK akiwa juu ya kaburi la marehemu sharo milionea maeneo ya muheza tanga katika kijiji cha LUSANGA
Kushoto ni dada yake na sharo milionea katikati mama mzazi wa sharo milionea na kulia ni msanii wa comed akimfariji na kumkabithi baadhi ya michango mama yake sharo milionea siku ya arobaini ya marehemu sharo,iliyofanyika muheza tanga.
Snura na hyperman hk
Kaburi la marehemu sharo milionea
Tunda man akiwa na mama yake marehemu sharo siku ya arobaini tanga muheza

Baadhi ya wasanii wa filamu,comed,na bongo fleva wakimsikiliza kwa makini sana rais wa taff mwakifamba akiongea mengi kuhusu msiba wa sharona kumlea mama yake sharo.
↧