↧
BIA YA KILIMANJARO IMESAINI MKATABA NA BARAZA LA SANAA KUENDELEA KUDHAMINI TUZO ZA MUZIKI TANZANIA KWA MUDA WA MIAKA MITANO
↧
KUNDI LA SHOSTEEZ LAZIDI KUKUBALIKA NA KUPAA
Shosteez wazidi kupaa!! Hivi karibuni imebainika kuwa Salma Mahin, Menynah Atick na Nuru wamekula shavu la kufanya tangazo la kinywaji kikubwa duniani na sasa wanakuja na kipindi chao cha Television chini ya usimamizi wa Lamar. Tunasubiri kwa hamu mambo mengi kutoka kwao...tuendelee kuwapa support wazidi #KUFUNGUKA!
MENYNAH
Salma and nuru
SHOSTEEEZ
Menynah
↧
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
TAIFA STARS YAIPA KIPIGO KIKALI MOROCCO
Taifa Stars 3-1 Morocco
Taifa Stars imefanya kile Watanzania walichowatuma baada ya kuwalaza Simba wa Atlas kwa mabao matatu kwa moja. Kipindi cha kwanza Stars walicheza kandanda la kuvutia na kupoteza nafasi nyingi za wazi huku Mbwana Samatta akionekana kuwa mwiba mkali kwa beki ya Morocco muda wote. Katika kipindi cha pili, Thoma Ulimwengu akitokea benchi alifunga bao la kwanza baada ya kuunganisha mpira wa kona, Dakika ya 66 ilikuwa ni Mbwana Samatta ambaye alimchambua golikipa wa Morocco na kufunga bao la pili na kuongeza bao la tatu katika ya 80. Stars iliendelea kushambulia kwa kasi huku ikigonga mwamba mara mbili. Dakika ya 90 Morocco ilipata bao la kufutia machozi na hivyo mchezo kuisha kwa 3-1.
↧
CHECK OUT PICHA ZA HARUSI YA 2 FACE IDIBIA TAZAMA ILIVYOKUWA.
↧
↧
NEMBO MPYA YA KILI XTREME DEEJAYZ,
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
CHIDY BENZI AMPA KICHAPO KIKALI MANGWEAR
Msanii wa hih hop chid benz usiku wa juzi katika club moja ya usiku iliyopo maeneo ya mjini alimpiga ngumi nyingi sana msanii mwenzake mangwear mpaka kulazwa na kushonwa nyuzi zisizopungua kumi.
alipoulizwa kuhusu sakata hilo alikubali na kusema pombe ndio imesababisha kutokea ugomvi huo.
chidy benz
Mangwear Na t.i.d
↧
BREAKING NEWZZZZ!! KAJALA AACHIWA HURU, WEMA AMLIPIA FAINI YA MILIONI 13!!

MSANII Wema Sepetu amemlipia faini ya shilingi milioni 13 msanii mwenzake, Kajala Masanja, na kumfanya awe huru. Mapema leo, hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili mcheza filamu za Kitanzania anayefahamika kwa jina la 'Kajala Masanja' na mumewe mbele ya Hakimu 'Sundi Fimbo' kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.
Katika hukumu hiyo 'Kajala' amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 13 na mumewe kwenda jela miaka saba au kulipa faini ya shilingi milioni 200.
Kajala alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuuza nyumba iliyowekwa kizuizini na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) baada ya mumewe 'Faraji Agustino' kukumbwa na makosa ya kutakatisha fedha haramu.
Hata hivyo baada ya hukumu hiyo kutolea mahakamani hapa, mwanadada maarufu hapa Bongo anayefahamika kwa jina la Wema Sepetu' aliweza kujitolea yeye mwenyewe kiasi cha Tsh. milioni 13 kutoka mfukoni mwake kwa ajili ya kumlipia msanii mwenzake wa filamu 'Kajala' asiweze kutumikia adhabu ya kifungo hicho cha miaka 5 jela.
Hii ni mara ya pili kwa msanii 'Wema Sepetu' kujitolea kiasi kikubwa cha fedha kusaidia msanii mwenzake.!
Kwa sasa Kajala yupo nyumbani kwao maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam pamoja na ndugu na jamaa.
ZEDDYLICIOUS BLOG INAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE WEMA SEPETU KATIKA KILA UTALOLIFANYA, NI WACHACHE SANA WENYE MOYO KAMA WAKO!!
↧
↧
LOVENESS LOVE ''DIVA'' AJUTA KUGAWA PENZI KWA MO RACKA
↧
FINA MANGO AVAMIWA NA MAJAMBAZI 8
Alitewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim, pamoja na mali kadhaa ambazo Fina hakutaja ni mali gani na fedha kiasi gani pale alipoandika kupitia mtandao wa twitter.
nimejaribu kumtafuta kwa ajili ya info zaidi, lakini hakuweza kupatikana baada ya kuambiwa simu yake pia ni moja kati ya vilivyobebwa na majambazi hayo. katika tukio hilo hakuna aliejeruhiwa
↧
WATOTO WAKIKE MPO? HIZI HAPA STYLE TOFAUTI ZA NYWELE ZA RIHANNA 15
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
↧
ZILIZOINGIA SOKONI WIKI HII KWENYE BONGO MOVIEZ
↧
YALIOJILI KWENYE MWAKA MMOJA WA NEW MAISHA CLUB MTWARA
Dvj majey na hyperman hk
mteja wa kilimanjaro akijipatia zawadi ya bit by dre kutoka kilimanjaro
Totoz za mtwara zilihusika poa sana maishani siku hiyo
hyperman hk na dvj majey wakifanya yao
dvj majey
Umati wa nguvu wakila ngoma kali kutoka kwa xtreme deejayz
makwaito kwa sana tu
hyperman hk akiwaimbisha kwa hisia kali
totoz za mtwara zikijiachia na kili xtreme deejayz
Mizuka ikipanda imepanda hakuna wakuizuia weweeee
Dj ali bwege a,k.a mchokoleka
Huyu alicheza mpaka ukumbi mzima ukacheka alipagawa na xtreme deejayz
Dj bwege
FIL G mnyama akishow love na dadaz wa mtwara
Kenny rolin na Ema mapesa
↧
YALIOJILI KWENYE SHOW YA EPIQ BSS MTWARA
Nsami
Hapana chezea HUSNA
HUSNA
MAVOCO
DJ GEOGRE
RUS na EDDY mzee wa buuuuuu
dj bwege,hyperman hk,na amd cloude
ulinzi ulikuwa wakutosha sana
LINNAH a.k.a ndege mnana
Hapana chezea wafanyakazi wa new maisha club mtwara wana uzuri wao bana na heshima zao mkoani KIDUKU KILIHUSIKA SANA
HYPERMAN HK AKIONGEA A WATU WAKE
GEOFFREY
MAVOCO
NSHOMA
MENYNAH
BARNABAS
MENYNAH
BARNABAS
DJ BWEGE
NORMAN
WALTER CHILAMBO
WABABA
BEN PAUL
BEN PAUL
Hyperman hk alisimamia show
↧
DIAMOND ATISHA MBAYA UKELEWE....
RAMA MPAUKA & MOSES IYOBO.... |
Umati wa watu walijitokeza kumsubiria President wa Wasafi ukumbini....watu hadi kwenye Mitii... |
Wachafuuuu wakianza Ustarabu wao Stejini.... |
Yanii....Hivii....Vile...kama kawaida yetu...!! |
Ulinzi ulihimarishwa na Jeshi La Polisi la Tanzania...Ukumbini hapo |
Huu ulikuwa umefika Muda wa Kulewa time.... wananchi wa ukelewe wliokuwepo ndan ya Ukumbi walishindana kulewa kwa style hiyo... |
Watu walikuwa busy na simu zao na Kupiga picha na kurekodi matukio Muhimu Huku Show zikiendelea...Ni Mambo ya Digital TU |
Nikiwashukuru Mashabiki wangu kwa kushow Love Kwangu AMANI NA UPENDO NDIO LUGHA YA KWETU KIGOMA |
↧
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
MA SNAP YA MAKING VIDEO YA WIMBO WA SHELTA - USILETE UKIMWI NYUMBANI
↧
HAMISA HASSAN ON HARUSI TRADE FAIR MAGAZINE (2013)
↧