Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all 1682 articles
Browse latest View live

MIPANGO YAKUMTEKA WEMA SEPETU YAJULIKANA

$
0
0

Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame", iliyoko maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim akitahadharishwa na msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa wanamzungumzia kwa kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika moja ya baa zilizoko Sinza inayopitwa Shkamoo pesa bar "ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui how well am prepared......." wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wemasource na gumzo la jiji


SAFARI YA MWISHO YA GOLDIE KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE

XTREME PICTURE OF THE DAY

MJADALA WA USHOGA WAIPONZA "CLOUDS FM"....TCRA YANYOOSHA MAKUCHA NA KUVIFUNGA VITUO VIWILI VYA REDIO

$
0
0

 

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.


Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.

Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.

Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili

Q CHILLAH AINGIA NA KITANDA CHA SITA KWA SITA KWENYE STAGE@NEW MAISHA CLUB

$
0
0

 Msanii mkuongwe wa bongo fleva  q chilla ameingia kwenye stage na style yakipekee kabisa new maisha club jumapili iliyopita wakati wa show yake ya CHILLAH IS BACK hakuna alietegemea kitu ambacho q chilla angekifanya mwisho wa siku yowe na shagwe zilianguka kwa ukumbi wa maraha wa maisha club kusha ngilia kumuonna q chillah akionekana juuu ya kitanda cha sita kwa sita kwnye ukumbi wa new maisha club . kiukweli ilikuwa raha sana show ilikuwa kali na ni kweli q chillah is bach meeeeen.













T.I.D,MAGWEAR WAKUTANA MARA 5 KWENYE KORABO TOFAUTI

$
0
0

Wasanii wawili wagogwe tanzania khalid mohamed T.I.D na ALBERT MAGWEAR wamekuwa wakishirikiana mara kwa mara katika nyimbo zao na zote uhit na kuwa nyimbo kubwa kutokana na uwezo wao wakuimba kwa wasanii hao.akiongea na x deejayz T.I.D asubuhi Hii baaba yakuona wimbo mpya wa magwear akimshirikisha t.i.d. TOP IN DAR alisema tuna nyimbo nyingi sana ambazo tumeshirikiana na magwear ambazo tumezitoa mpaka sasa hivi kama 5 lakini zipo zingine ambazo bado hazitoka na zote kali alizitaja nyimbo ambazo zimeshatoka ni SHE PERFOMR - GWEAR FT T,ID, KIUNO - T.ID FT GWEAR, A.K.A MIMI MAGWEAR FT T.I.D na huu tuliotoa leo wa magwear wa NO BEEF magwear ft t.i.d. xdeejayz ikataka kujua kwanini kila siku mnashirikiana hamuoni kama watu wanaweza kuzichoka korabo zenu T.I.D akajibu kwa kusema sie ni tam kubwa kama yanga na simba haziwezwi kuchokwa na wapenzi wake na milele zitabaki juu. tunaekewana sana ndio mana milele tupo pamoja.

sikiliza au dowload wimbo mpya wa magwar ft t.i.d unaoitwa beef hapa

HII NDIO BIRTHDAY YA KINYAMA YENYE REDCAPERT@LEADERS CLUB LEO

$
0
0
Mwanadada ladynaa a.k.a mutoto mulito leo anasheherekea birthday yake ya kinyama yenye redcarpert leaders club kuanzia saa moja jioni mpaka mida ya sita usiku baada ya hapo after party NEW MAISHA CLUB.kwenye birthday hiyo ambayo MC benny kinyaiyas,dj kim na burudani kutoka kwa wasanii wa bongo fleva itakuwa ni yaklipkee kabisa na yenye bia zakusaza na mavyakula yakufamtu. HONGERA MUTOTO MLITO LADNAAA.

PICHA KUMI NA 15 ZA MWANA DADA JENNIFER LAURENCE AKIVUA NGUO NJE YA GARI YAKE UFUKWENI

$
0
0

 Mwanadada kipenzi cha wengi jennifer laurence star wa ma movie kibao makali ikiwemo ile ya THE HANGOVER mwishoni mwa mwenzi february alihjiachia kwenye ufukwe mmoja na baada ya kutoka kwenye maji kilichofuta ni kwenda kuvaa nguo zake hapo ndipo alikwenda kuvaa nje ya gari yake bila ya kizuizi chochote kile na bila kujali kama yeye ni mtu maarufu.kama unavyojionea kwenye picha moja baada ya nyengine hapo kati.
















XTREME PICTURE OF THE DAY

MSANII WA TAARAB TANZANIA HAMMER Q APATA MWENZA

$
0
0

 Yule mkali wa hit song ya npembe la ng'ombe hammer q hivi karibuni amefunga pingu za maisha na mwanadada anaejulikana kwa jina la salha,kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema harusi hiyo ilikwenda fresh kama ilivyopangwa ,x deejayz mnamtakia ndoa njema na yenye baraka.amin



XTREME PICTURE OF THE DAY

UZINDUZI WA ALBAM YA MAPACHA WATATU WAFANA

$
0
0

 Chezea mapacha watatu weweee

 Mgeni rasmi CAPTEN JOHN KOMBA

 Jana ilikuwa bonge la uzinduzi, it was classic baba ake..... MASHABIKI wa muziki wa dansi nchini, mwishoni mwa wiki walishuhudia uzinduzi wa albamu ya pili ya bendi ya Mapacha Watatu.
Uzinduzi huo uliyofanyika katika Ukumbi wa Business Park, ulishuhudiwa na mashabiki lukuki.
Bendi hiyo, ambayo mwanzoni ilianzishwa kama kikundi kwa ajili ya wasanii kujiongezea kipato, huku wakiendelea kufanya kazi kwenye bendi zao na mwaka 2011, wasanii hao waliamua kuacha vibarua vyao na kuunda bendi yao rasmi.
Wasanii waliondoka kwenye bendi zao walikuwa ni Jose Mponezya ‘Jose Mara’ kutoka FM Academia, kutoka Twanga Pepeta ni Khalidi Chuma ‘Chokoraa’ na Kalala Junior, ambaye baadaye aliamua kurejea Twanga.
Albamu ya kwanza ya bendi hiyo, iliyoitwa Jasho la Mtu, ilizinduliwa mwaka 2010.

 MAPACHA WATATU

ALBAM IKIZINDULIWA NA CAPTEN JOHN KOMBA

XTREME PICTURE OF THE DAY

IRENE UWOYA AANIKA MAKALIO YAKE NJE

$
0
0

Cha kushangaza ni kwamba picha hii haimpi shida wala aibu......

Yeye anadai kwamba "yuko kikazi zaidi"....

Picha hii aliipiga wakati wakirekodi filamu Ya ONE BLOOD ya Tino na kuamua kuisambaza.....

Hii ni kali....Irene Uwoya kaamua kutuzawadia makalio yake na shanga zake......

haya sasa jionee mwenyeweeee michilizi ya utamu

YALIOJILI KWENYE BIRTTHDAY PARTY YA LADY NAA A.K.A MUTOTO MULITO

$
0
0


LADY NAA...MTOTO MLITO KABALI YAO.....alipowasili leaders
Tarehe 28.2.2013 Ilikuwa siku yakuzaliwa Lady Naa....mtoto mlito

the C.E.O wa Most fun club.......iliofanyika kwenye viwanja vya

leaders.... This is Diamond inamtakia Maisha Marefu na Baraka

na Mafanikio......upendo na amani utawale kwenye maisha yake...

much love to lady Naa....!!


Lady Naa n Gadner Dibibi....














Hapana Chezea mtoto mlito with Snura Mama Viuno....



Birthday Girl with Zuhura Gora ......

Lady Naa with yusuph mlela.....

vibega tu sasa........with simple and birthday girl




Hyper Man HK With Lady Naa





`

+
Lady naa with Esma Platnum



Benny Kinyaiya Daddy with Lady Naa


Esma khan with Faridah....




Bi Sandrah.....Mama yake Diamond platnumz alipowasili Leaders
club

Hamish Donovan The Man Himself with Mose Iyobo

Mark vidinge with Dumi utamu....














Lady Naa akikata cake......




Mose Iyobo along side with Dumi utamu....




Benny kinyaiya akilishwa cake kwa matashititi ya kihaya....

Steve Nyerere akilishwa keki na mtoto mlito Lady Naa











Ney Nai Nai akilishwa keki.......

Jacquline wolper in da building.....



LADY NAA ALONG SIDE WITH UNCLE SALU



DIVAZZZZ

XTREME PICTURE OF THE DAY

$
0
0

Baunsa wa  NEW MAISHA CLUB  terminator akipanda baiskel ya mtoto wa hyperman hk!! mpaka mtoto anashangaaaa!!!!!!!!!!!!!!!

ZILIZOINGIA SOKONI WIKI HII KWENYE BONGO MOVIEZ

RAIA WA UGANDA WAFUNGA NDOA YA JINSIA MOJA

$
0
0

Lawrence na jimmy raia wa uganda ila wanaish sweden wamefunga ndoa ya jinsia moja da aibu tupu je ungekuwepo we ungefanya nin hapo... watu wanasheherekea kabisaaa.

XTREME PICTURE OF THE DAY

$
0
0

Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo

ANGALIA MAKING VIDEO YA WIMBO MPYA WA MATONYA SEMBULE

$
0
0

 








abby kazi director wa video hiyo akituonyesha baadhi ya vipande tulivyokuwa tumeshapiga


Gari ya kifahari iliyotumika kama location ya video hiyo





matonya na totoz



hyperman hk na snura





Matonya snura na hyperman hk





abby kazi kazini


Mambo ya make up yalihusika hili watu waonekane poa kabisa

Viewing all 1682 articles
Browse latest View live