↧
YALIOJIRI SIKU YA VALENTINE'S DAY MAISHA CLUB MTWARA
↧
UJIO MPYA WA Q CHILLAH NI NOUMER
↧
↧
OFICE YA WEMA SEPETU YAGHARIMU MILIONI MIA
↧
KILI x deejayz YAFANYA BALAA NEW MAISHA CLUB DAR
Mazawadi kibao kutoka kilimanjaro
dj ommy crayze
Mteja wa kilimanjaro akifurahia ubora wa bia bora ya kilimanjaro
Kushoto hyperman hk, dj ommy crayze na dvj majey
full calourd
Mpaka wajapani walikuja kuwaona x deejayz
Mtu mzima t bway na mtoto mkali
full pozi
Swaga za watoto wa kitaaa maishani
Watoto wazuri wakumwaga maishani walijitokeza kuwaona xdeejayz
kwaito mpya zilizopigwa na dvj majey ziliwainua watu kwenye viti vyao nakujitokeza kwenye stage kwa wingi sana
↧
X DEEJAYZ POLI TO POLI NA MTOTO DAYNA KUELEKEA MTWARA
↧
↧
HOSPITAL HII NI KIBOKO INATIBU MAGONJWA YOTE SUGU
Hospital mpya yenye mashine za kisasa imefunguliwa tabata hivi karibuni, watanzania tofauti wamemiminiaka kushuhudia ufanisi wa hospital hiyo ya kisasa inayotibu magoinjwa kama , kansa, moyo,kiuno,mgongo,miguu,kichwa,mbavu na kila aina ya magonjwa sugu.alielala hapo pichani ni mama yake na msanii wa muziki wa bongo fleva synage alikuwa anasumbuliwa na kansa lakini kwa sasa tangu aanze kutibiwa katika mashine za hospital hii anaendelea vizuri kabisa na ametoa ushuhuda kupitia x deejayz leo katika hospital hiyo ya masa ceragem tabat cenrter
MASA CERACGEM TABATA CENTER
Hospital iko tabata karibu kabisa na jengo la crdb tabata
Hapo ni maeneo ya ndani ya hospital hiyo
Mkurugenzi wa MASA CERAGEM TABATA CENTER LADYNAA
Msanii wa bongo fleva PASHA ni mmoja kati yawatu waliowahi kushiriki matibabu katika hospital hiyo
Wagonjwa mbalimbali wakipata matibabu katika machine mbalimbali za hospital hiyo
Muhudumu wa hopspital ya masa ceragem ya tabata center akihudumua wagonjwa
Hosital iko vizuri kwakweli mie ni mmoja kati ya watu waliokwenda kushuhudia matibabu mbalimbali eneo hilo kama una mkonjwa yoyote na haujapata ufumbuzi basi mpeleke katika hospital hii utaona mabadiliko mbalimbali kwa mgonjwa wako na kupona kabisa kwa wale ambao wangependa kwenda kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714403442.
↧
Q CHILLAR KUWAFUNDISHA UNYAMA WASANII WA BONGO FLEVA JUMAPILI HII
↧
ZILIZOINGIA SOKONI WIKI HII KWENYE BONGO MOVIEZ
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
↧
PREZOO MSTARI WA MBELE KWENYE IBADA YA KUMBUKUMBU YA GOLDIE
↧
WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WAPATA MTOTO WAO WA KWANZA
↧
PASTOR MYAMBA AFATA NYAYO ZA MAREHEMU KANUMBA
PASTOR MYAMBA aja na hii huku akiwa ameonesha uwezo mkubwa sana wakisanii wapenzi wa wasanii nchini wamemfananisha na marehemu kanumba kutokana na uwezo wake wa kufanya filamu kwa kiwango kikubwa kutokana na uwezo wake wakisanii pia. filamu hii imewakutanisha wasanii wakali wanaosumbua ndani ya industry hii ya bongo movie kama QUEEN JACKLINE PENZEL, MZEE CHILO,PATCHO MWAMBA, JENGUO na wengine kibao. usikose kuchukua nakala yako ujionee jinsi mwanadada QUEEN JACKLINE PENZEL alivyofanya hatari.
↧
PICTURE OF THE DAY
↧
↧
CLUB MAISHA MTWARA YATOA SHAVU KWA MASHABIKI WAKE!
Na Mwandishi Wetu-Mtwara
Uongozi wa Club Maisha Mtwara imetoa ratiba ya kila wiki kwa mashabiki wake kwenye kiota namba moja cha burudani Mkoani huko.Akiongea na xdeejayz meneja burudani wa Club hiyo Adamu Mchao alisema kuwa"Tumeamua kuboresha mipangilio ya burudani ndani ya club yetu ili kuendelea kuwapa neema ya kuwapa raha mashabiki wetu"Alisema Adamu
Hata hivyo Adamu aliongeza ratiba hiyo kama inavyoonekana kwenye flaya hapo juu itakuwa ya kila wiki lakini kila mwisho wa mwezi watakuwa wanafanya shoo maalum za wasanii wa bongo flava na hiyo inatokana na kuwajali mashabiki wao.
↧
YALIOJILI TRIPLE BASH DODOMA NA XTREME DEEJAYZ
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
XTREME PICTURE OF THE DAY
↧
↧
KESI YA KAJALA YASOGEZWA MBELE
Leo ndio ilikuwa itoke hukumu ya kesi ya mwadada mwenye jina kubwa tanzania mama mwenye mtoto mmoja,msanii wa bongo movies tanzania kajala masanja,hukumu hiyo imehairishwa mpaka tarehe 25 mwenzi wa tatu,akiongea na kachero wetu kwa njia ya simu mmoja wa marafiki wa karibu aliekuwepo kwenye kesi hiyo mahakamani leo amesema kutokana na kutokuwepo kwa baadhi ya wahusika katika kesi hiyo inamladhimu hakimu kuhairisha kesi hiyo mpaka tar 25 mwenzi wa 3. blog hii inamuombea kajala masanja kila la heri hili aweze kushinda kesi hiyo
kajala masanja
↧
PICHA SABA KALI ZA BIKINI ZA MWANADADA AISHWARYA RAI SUPERSTAR WA FILAMU ZA KIHINDI
↧
HAKUNA HAJUAE KESHO - PICHA ZA ENZI ZA MWALIMU
↧