↧
FILAMU YA MWISHO YA MAREHEMU KANUMBA AKIWA NA SHARO MILIONEA LOVE & POWER IPO...
Marehemu Kanumba filamu yake ya mwisho kuigiza ya Love & PowerFILAMU ya Love & Power ambayo ndio kazi yake ya mwisho kuigizwa na msanii wa filamu nguli Bongo marehemu Steven kanumba...
View ArticleHAWA NDIO WASANII WATANO WA HIP HOP WENYE MKWANJA MREFU DUNIANI
Forbes is back with their popular list of wealthiest Hip-Hop artists, this time counting their money for the year 2013. Diddy tops the list this time, mainly thanks to huge profits from his Ciroc...
View ArticleKIWANJA KIPYA CHA BURUDANI KIMEFUNGULIWA KINONDONI THE JACARANDA
THEJACARANDA ndio jina la chimbo jipya la vijana lililopo maeneo ya kinondoni pembeni ya bar ya UHURU PICK na inatizamana na MANGO GARDEN. Tukiongea na manager wa kiwanja hiko cha kijanja JULIE...
View ArticlePICHA ZA JENGO LILILOANGUKA LEO KARIAKOO
Kwa maelezo ya shuhuda, inasemekana limeanguka saa moja asubuhi ambapo kwa muda huo kulikua na watoto wa kihindi wanacheza mpira, kulikua na vibarua ambao wanataka kumwaga zege kuendelea na ujenzi na...
View ArticleUOKOAJI UKIENDELEA KATIKA JENGO LILIDONDOKA ASUBUHI YA LEO
Gari lililokuwa karibu na jengo hilo likiwa limebonyezwa kama chapati likitolewa eneo la tukio kuweza kuwato majeruhi waliofunikwa na kifusi cha gorofa hilo.Mtoto Maisamali Karim (6) ambaye ameokolewa...
View ArticleSHINDA KING'AMUZI NA FLAT TV YENYE INCH 32
Pamoja na kikombe, wachezaji wa timu bingwa inayotwaa kombe la UEFA Champions League hupewa medali 40 za : A. Shaba B. Dhahabu.
View ArticleALICHOKIANDIKA MUMEWE JACQUE PENTZEL GADNER DIBIBI KWENYE FACEBOOK KUHUSU...
GADNER DIBIBIKwa wale wote ambao wanasema mm ni mume wa mtu ...jamani cjawahi kuoa wala kumchumbia mtu,,,,,, ndoa yangu ya kwanza ni hii niliooa siku chache zilizopita na kauthar Dibibi(jacque...
View ArticleDIAMOND BADO AENDELEZA KICHAPO KWA MABINTI JUKWAANI
Napenda kutanguliza Shukrani za Pekee kwa Mwenyezi Mungu....kwa kutuwezeshaMimi na Crew Yangu Nzima ya WASAFI Kufika salama KAHAMA na kupokelewana Maelfu ya watanzania wenzangu wanaokubali Kazi zangu...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA ENEO AMBALO GHOROFA LIMEPOROMOKA
Mkuu wa mkoa Said Meck Sadick akiwa na Rais Kikwete na Kamanda wa polisi kanda maalum Dar es salaam Suleiman Kova
View ArticleHUYU NDO BINTI ALIYECHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MPENZI WAKE BAADA YA KUBUSU...
Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti DiamondBinti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wakeBinti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda,...
View ArticleHAPPY BITHDAY P FUNK MAJANI
Leo ni siku ya kuzaliwa mmoja wa watu walioufanya muziki wa bongoflava ufike hapa ulipo na kuutangaza nje ya mipaka ya Tanzania. Ni muandaaji wa muziki ambaye amevitoa vichwa vingi vikubwa...
View ArticleBAADA YA KUPIGWA MADONGO NA SINTA KUWA AMEFULIA, MANGE KIMAMBI APIGA PICHA...
Mange Alikuwa Arusha Ambapo Alipeleka Vitu vya Kuuza Kutoka Ulaya Hizo ndio Picha na Maneno aliyoandika kwenye Website yake..........HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA...."NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI...
View ArticleMSANII CYRIL KAMIKAZE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Msanii wa kizazi kipya Cyril kamikaze amepatwa na msiba kwa kufiwa na mama yake mzazi aliekuwa amelazwa katika hospital ya tmj iliyoko dar es salaam. Xdeejayz inampa polecyril nakumuombea kwa mungu...
View Article