↧
BIA YA KILIMANJARO IMESAINI MKATABA NA BARAZA LA SANAA KUENDELEA KUDHAMINI...
inafurahi kuwatangazia wapenzi wote wa burudani kuwa KILIMANJARO imesaini mkataba na Baraza la Sanaa Tanzania, (BASATA) kuendelea kudhamini Tuzo za Muziki Tanzania kwa miaka mitano zaidi hadi mwaka...
View ArticleKUNDI LA SHOSTEEZ LAZIDI KUKUBALIKA NA KUPAA
Shosteez wazidi kupaa!! Hivi karibuni imebainika kuwa Salma Mahin, Menynah Atick na Nuru wamekula shavu la kufanya tangazo la kinywaji kikubwa duniani na sasa wanakuja na kipindi chao cha Television...
View ArticleTAIFA STARS YAIPA KIPIGO KIKALI MOROCCO
Taifa Stars 3-1 Morocco Taifa Stars imefanya kile Watanzania walichowatuma baada ya kuwalaza Simba wa Atlas kwa mabao matatu kwa moja. Kipindi cha kwanza Stars walicheza kandanda la kuvutia na kupoteza...
View ArticleCHECK OUT PICHA ZA HARUSI YA 2 FACE IDIBIA TAZAMA ILIVYOKUWA.
Celebrity GuestsIni Edo, Kate Henshaw & Mike EzuruonyeTunde Demuren & Banky WTunde Demuren, Ubi Franklin & Banky W
View ArticleCHIDY BENZI AMPA KICHAPO KIKALI MANGWEAR
Msanii wa hih hop chid benz usiku wa juzi katika club moja ya usiku iliyopo maeneo ya mjini alimpiga ngumi nyingi sana msanii mwenzake mangwear mpaka kulazwa na kushonwa nyuzi zisizopungua kumi....
View ArticleBREAKING NEWZZZZ!! KAJALA AACHIWA HURU, WEMA AMLIPIA FAINI YA MILIONI 13!!
MSANII Wema Sepetu amemlipia faini ya shilingi milioni 13 msanii mwenzake, Kajala Masanja, na kumfanya awe huru. Mapema leo, hukumu ya kesi iliyokuwa inamkabili mcheza filamu za Kitanzania...
View ArticleLOVENESS LOVE ''DIVA'' AJUTA KUGAWA PENZI KWA MO RACKA
Diva alhamisi iliyopita alifunguka kuhusu kosa kubwa alilolifanya katika maisha yake tangu azaliwe. Na alichosema kajuta ni kua na uhusiano wa kimapenzi na msanii Mo Racka. Hiki ndicho alichokiandika...
View ArticleFINA MANGO AVAMIWA NA MAJAMBAZI 8
Alitewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim,...
View ArticleWATOTO WAKIKE MPO? HIZI HAPA STYLE TOFAUTI ZA NYWELE ZA RIHANNA 15
Hakuna twende kilioni hata moja au kwa mjumbe kuna ngoma au kilimanjaro chezea rihana weweeeeeeee!!!!!!
View ArticleYALIOJILI KWENYE MWAKA MMOJA WA NEW MAISHA CLUB MTWARA
Dvj majey na hyperman hk mteja wa kilimanjaro akijipatia zawadi ya bit by dre kutoka kilimanjaro Totoz za mtwara zilihusika poa sana maishani siku hiyo hyperman hk na dvj majey wakifanya yao dvj...
View ArticleYALIOJILI KWENYE SHOW YA EPIQ BSS MTWARA
Nsami Hapana chezea HUSNA HUSNA MAVOCO DJ GEOGRE RUS na EDDY mzee wa buuuuuu dj bwege,hyperman hk,na amd cloude ulinzi ulikuwa wakutosha sana LINNAH a.k.a ndege mnana Hapana chezea wafanyakazi wa new...
View ArticleDIAMOND ATISHA MBAYA UKELEWE....
Ilikuwa Moja ya Show zangu kwenye Tour yangu ya kanda ya Ziwana Hii Ilikuwa Ukelewe Tarehe 15 mwezi wa 3 mwaka huu.....Nashukuru Mungu Show ilienda SafiNa wananchi wa Ukelewe walipokea viilivyo Ujio...
View ArticleMA SNAP YA MAKING VIDEO YA WIMBO WA SHELTA - USILETE UKIMWI NYUMBANI
Naamini kitatoka kitu chakinyama sana soon video itakuwa hewani kaa tayari
View Article