Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

DIAMOND BADO AENDELEZA KICHAPO KWA MABINTI JUKWAANI

$
0
0

 

 

Napenda kutanguliza Shukrani za Pekee kwa Mwenyezi Mungu....kwa 
kutuwezesha
Mimi na Crew Yangu Nzima ya WASAFI Kufika salama
 KAHAMA na kupokelewa
na Maelfu ya watanzania wenzangu wanaokubali Kazi zangu 
wakubwa kwa wadogo...!
Nawashukuru Pia kampuni Nzima Iliyoweza kufanikisha Tour yangu
 Hii ya kanda
ya Ziwa sehemu hii ya KAHAMA...... Usiku wa Jana
 Niliporomosha Show Matata
Ndani ya KAHAMA na watu wengi kufurika mpaka kufikia 
wengine kukosa Hewa
Ingawa ukumbi ulikuwa wa wazi......!! Shukrani za Pekee Nyingi
 ziwaende Mashabiki
zangu wote wa KAHAMA waliojitokeza kwa wingi Kushow Love 
kwa President wa
WASAFI......

Zifuatazo ni Picha za Show ya Jana KAHAMA...!!
WASAFIIIIIIIIIIII.......!!

Nikiwa na Dancers wangu From Left Rama Mpauka,Emma Platnum,Dumi Utamu
& I Myself The President.....
Rama Mpauka,Emma Platnum & Dumi Utamu...!!
Taratibu Nikikianzisha.......
Yanii.....Kama watoto wakinililia....??? wambie Kesho Nini....??!
Siwasiki KAHAMA MPOOOOO.....???!!




Amsha Amsha si ndo Ikanipa Mizuka Kucheza na Mashabiki....!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682