↧
ALICHOKIANDIKA MAMA SALMA KIKWETE KATIK UKURASA WAKE WA FACEBOOK KUHUSU SIKU...
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.Leo ni siku ya wanawake Duniani, ni siku ya kujitazama kama Taifa juu ya hali ya wazazi hawa na walezi wa Taifa hili. Ni siku ya kujipima na kutathimini namna gani,...
View ArticleKILI XTREME DEEJAYZ KUGAWA DVD ZA BURE KWENYE TRIPLE BASH DAR
Ijumaa ijayo wakali wa madeejays tanzania kili xtreme deejayz watafanya yao ijumaa ijayo new maisha club dar,zawadi kibao zitatolewa na KILIMANJARO ambao ndio main sponser wa usiku huo wa triple bash...
View ArticleTUKIELEKEA MWAKA MMOJA KUADHIMISHA KIFO CHA STEVEN KANUMBA
Ikiwa imebaki mwezi mmoja tu kutoka leo 7/3/2013 ili tutimize mwaka mzima tangu tasnia ya filamu na Tanzania kwa ujumla itokwe na “The Great Pioneer” Steven Charles Kanumba. Founder na former managing...
View ArticleLULU KUACHIA FOOLISH AGE SOON
Muigizaji Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ambaye wiki kadhaa zilizopita alitoka jela kwa dhamana kwa kosa linalomkabili mahakamani. Baada ya kutoka vitu ambavyo bongomovietz.com iliviangalia kwa...
View ArticleALICHOKIANDIKA HYPERMAN HK KWENYE FACEBOOK KUHUSU MAMA YAKE MZAZI KWENYE SIKU...
Hiki ndio amekiandika hyperman hk kwenye facebook kuhusu mam ayake mzazi aliemzaa kwenye siku ya wanawake duniani.Happy mother's day, nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama yangu kwa kunizaa,kunilea...
View ArticlePASHA KUFATA NYAYO ZA CHEGE NA AY KIBIASHARA
Duka la chege chigundaMkali wa muziki wa bongo fleva pasha mtepa ameamua kufata nyayo za wasanii wenzake kina chege na ay katika swala zima la kutotegemea muziki peke yake na badala yake kuamua...
View ArticlePICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA ALIYETOKELEZEA KATIKA VIDEO YA JAMBO JAMBO YA...
WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii...
View ArticleTID APEWA KICHAPO KIKALI NA MTANGAZAJI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA CLOUDS TV
Mwanamuziki nyota wa Bongo flava ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa dansi, Khalid Mohammed ‘TID’, wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kudundwa hadi kutolewa nundu puani na mtangazaji...
View ArticleDIAMOND NDIO MSANII WA BONGO FLEVA ANAEUZA ZAIDI KULIKO WASANII WOTE KWENYE...
DIAMOND! HUYU HAPA TENA DUH!!Mwanzilishi wa kampuni ya Push Mobile inayohusika na uuzaji wa miito ya simu, ringback tone (RBT) amesema Diamond ndiye msanii wa Bongo Flava anayeingiza fedha nyingi...
View Article