Ijumaa ijayo wakali wa madeejays tanzania kili xtreme deejayz watafanya yao ijumaa ijayo new maisha club dar,zawadi kibao zitatolewa na KILIMANJARO ambao ndio main sponser wa usiku huo wa triple bash itafanyika tar 15 mwenzi huu wa 3 na kuelekea mtwara jumamosi ya tarehe 23 na mjini dodoma itakuwa tarehe 30 mwenzi watatu,akiongea na manager wa xdeejayz hyperman hk alisema mwenzi huu wanakuja kivingine kabisa. watatoa zawadi mbali mbali ikiwepo zawadi ya cd za bure za mixing kali za xtreme deejayz zilizofanywa na DVJ MAJEY kiukweli utakubali ukipata nafasi yakupata dvd hizo ambazo zitagaiwa new maisha club dar,dodoma na mtwara.