Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Browsing all 1682 articles
Browse latest View live

KONA YA SIASA:MTU TAJIRI NI LAZIMA APEWE ELIMU YA UTAJIRI ILI AULINDE UTAJIRI...

Tanzania ni nchi ambayo mfumo wake wa kiuchumi na kisiasa ,unawafanya watu wengi kuwa na mkanganyiko .Hii ni kutokana na kutokuwepo kwa viashiria vya moja kwa moja kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE ILALA WATAVUNJA REKODI YA TEMEKE JUMAPILI HII JANGWANI?

Maelfu ya wananchi waliokadiliwa kufikia elfu therathini waliohudhuria tamasha la NI WAKATI WAKO TOUR katika viwanja vya Mwembe Yanga hivi karibuni swali ni kwamba je Ilala Disemba 9 mwaka huu pale...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFYA YA MZEE MAJUTO SIO NZURI,WATANZANIA WATAKIWA KUMUOMBEA KWA MUNGU!

Kusafirishwa haraka toka Tanga kuja Dar kwa matibabu,Mtoto wake aongea na Xdeejayz na kuweka wazi ugonjwa unaomsumbua babake.Na Livingstone MkoiAfya ya Mfalme wa Komedi Tanzania Amari Othuman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITU VYA SHARO MILIONEA VILIVYOIBIWA NA KUKAMATWA KUZIKWA:KITALE!

Yaelezwa ni maagizo ya Mama mzazi wa Sharo,Vitu vitakavyozikwa ni pamoja spea taili,redio ya gari,beteri,saa ya mkononi,suruali aina ya jins pamoja na tisheti na begi. Na Mwandishi WetuHabari toka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTV IMEVUNJA REKODI YA JANGWANI JANA

Maelfu ya watu walio jitokeza jana katika viwanja vya jangwani ktk wakati wako tour ya DTVMkali dully akipiga show kwenye stage ya wakati wako tour ya DTV katika viwanja vya jangwaniMaelfu ya watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DTV INAWATENDEA HAKI WANAMUZIKI:DOGO ASLAY

Asema ni televisheni ya kizazi kipya ambayo haibagui msanii!Na Livingstone MkoiMsanii chipukizi anaekimbiza kwenye muziki wa kizazi kipya nchini toka Tmk Dogo Aslay ameweka wazi ya moyoni mwake kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWAGA ZA JB MKUU WA MAJAJI ZAWAPAGAWISHA MASHABIKI JANGWANI KWENYE SHOO YA NI...

 MWANAMUZIKI JB MKUU WA MAJAJI AKIWA STEJINI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAKE!MWANAMUZIKI JB MKUU WA MAJAJI AKIWA STEJINI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAKE!Msanii nyota kwenye muziki wa bongo flava JB MKUU WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RICK ROSSE WA BONGO ANUSURIKA KIFO KWA AJALI MBAYA,AVUNJIKA MBAVU MBILI!

 David Shahid Rick Rosse wa Bongo.  Rick Rosse wa Bongo.Na Livingstone MkoiKijana wa kitanzania David Shahid ambae miezi ya hivi karibuni alitokea kujizolea umaarufu kutokana na kufanana sana sura na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJEMBA LAOLEWA HARUSI YA KIFAHARI NA MUME WA MTU!

Mwanaume aliyefahamika kwa jina moja la Brick akiwa mwenye furaha baada ya kufunga ndoa ya kifahari na bwanaake ambae anadaiwa ni mume wa mtu.Na Mwandishi Wetu2012 unaisha na vituko vya kukumbukwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA 40 YA SHARO MILIONEA JOHN MNYIKA AFUNGUA NJIA ATOA LAKI MOJA...

 Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupita CHADEMA John Mnyika.Mbunge wa Ubumgo John Mnyika.Na Livingstone MkoiMbunge kipenzi cha watu katika Jimbo la Ubungo John Mnyika ametoa mchango wake wa shilingi laki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKATI WAKO TOUR NA DTV KUILIPUA DAR LIVE JUMAPILI!

NYOMI LA MASHABIKI WALIOFIKA KWENYE VIWANJA VYA JANGWANI NA MWEMBE YANGA KWENYE MATAMSHA YA NI WAKATI WAKO TOUR!Na Livingstone MkoiMaelfu ya mashabiki wa Mbagara na vitongoji vyake wiki hii wanatarajia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUNGU AKINIJALIA HADI MWAKANI NATAKA NIWAINUE UNDERGROUND KUMI WAWE MASTAA!

Staa wa filamu za Kitanzania Nisha akiwa kwenye picha za pozi.Na Livingstone MkoiMsanii nyota wa filamu Tanzania Nisha amesema kuwa ana mpango maalum wa kuwainua wasanii kumi wachanga na kuwa mastaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAJABU YA MUNGU,MTI WENYE UMBO NA SURA KAMA YA BINADAMU!

Mti wa ajabu kama unavyoonekana ukiwa na sura kama ya binadamu pamoja viungo vinavyofanana  na mwanamke!Na Mwandishi WetuWatafiti wa mambo Kaskazini mwa Misri wameshikwa na butwaa baada ya kuugundua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYOKA WA AJABU ALIVYOUAWA NA KUWEKA REKODI 2012 DUNIANI!

 Nyoka wa ajabu akiwa amepakizwa kwenye gari la kubebea kontena baada ya kuuliwa na wanajeshi nchini Misri.Nyoka wa ajabu akipambana na zana za kijeshi bila mafanikio.Hata hivyo baada ya vita hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBWA MWENYE KICHWA CHA JOGOO ATIA HOFU YA KUMALIZIKA DUNIA!

Mnyama aina ya mbwa mwenye kichwa cha jogoo akiwa kwenye pozi!Na Mwandishi WetuAma kweli dalili za mwisho wa dunia dhahili zinaonekana kufuatia mambo ya ajabu ajabu kuibuka kila kona ya dunia.Mbwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFYA YA MZEE MAJUTO YAIMARIKA!

MSANII KING MAJUTONa Livingstone MkoiAfya ya Mzee Majuto aliyekuwa anaumwa sasa imerejea kwenye hali ya kawaida kufuatia kuanza kupata matibabu ya uhakika baada ya kuletwa Dar akitokea Tanga alikokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAM WA UKWELI ADAIWA KUSHINDWA MAISHA,ARUDI KUISHI KWA WAKWEZE!

Mwanamuziki Samu wa Ukweli akiwa kwenye picha ya pozi.Na Mwandishi WetuKuna taarifa kuwa msanii aliyewahi kutamba sana kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Samu wa Ukweli ameshindwa kuishi maisha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWANGA PEPETA WAPANIA KUWAFUNIKA BONGO FLAVA KWENYE WAKATI WAKO SHOO DAR LIVE...

 Wanamuziki Luiza Mbutu na Amigo wakiwajibika stejini!Wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta .Na Livingstone MkoiBendi ya muziki wa dance nchini The African Stars "Twanga Pepeta" wameapa kufanya shoo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKATI WAKO TOUR NI ZAIDI YA BURUDANI:JOE MAKINI

 Mwanamuziki Joe Makini                                                Joe MakiniNa Mwandishi WetuKwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa tamasha ambalo kwa siku chache tu limfenikiwa kujizolea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRISTMAS YA MWAKA HUU ITAKUWA CHUNGU KWA WATANZANIA WALALAHOI!

 Wakazi wa Jijini Dar  kama walivyofumwa na kamera za Xdeejayz wakiwa kwenye mishemishe katika mitaa ya Kariakoo wakijiandaa na sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya kwa ugumu.Mti maarufu kwa jina la...

View Article
Browsing all 1682 articles
Browse latest View live