$ 0 0 Dvj majey na hyperman hk wakiwa maeneo ya mbande karibu kabisa na mji mkuu wa tanzania dodoma Hapa nilikuwa naongea na simu na dj choka 'hoya mzazi niko maeneo ya mbande dodoma ngoja nile nyama nitakipigia' Uwezi kununua nyama bila ya kuonja lazima uonje kwanza.kata kipande tuonje.mipe kidogo Muhuza nyama maalufu wa mbande Pande buku mbili tu na chenji inarudi katakata weka kwenye hotpot kwani nini Nilipomshangaza dj majey nilipotoa mfuko wa ndimu aliniuliza nilinunua saa ngapi? mana kupata ndimu hapa mbande ni kazi sana na nyama mwenzake ndimu' katakata ndimu weka kwenye sahani na pilipili na chumvi,. kausha nyama mzazi pilipili imeshatengenezwa kitu cha chahcanndu iko hapo kimekamilika hoya mzazi picha yetu ukija siku ingine tuletee mzazi au kama vipi tutokee hata kwenye video sio mbaya kausha nyama kausha nyama tamu sana hizi hapatunaamini ni za mbuzi kama sio tena mhh tutajua mbelekjwa mbele