Mtu wangu wa kweli waeza ukawa unajua lakini nipo hapa kukujuza zaidi...uko unyamwezini Kituo nguli Duniani kwa maswala ya muziki kutoka nyanja zote za dunia kila ifikapo kipindi fulani au tarehe fulani wanakuwa na Tuzo zao,zipo nyingi siwezi orodhesha zote lakini nipo hapa kukutajia hiki kimoja tu cha MTV VIDEO MUSIC AWARD 2013(VMA). Tuzo hizo zinatazamiwa kufanyika ndani ya tarehe 24.8.2013 na baadhi ya wasanii wameweza kuwekwa kwenye vitengo mbali mbali kuwania baadhi ya tuzo toka kwenye VMA....
Yafuatayo ni Majina ya washiriki na wagombea wa tuzo tofauti za (MVA) yacheki hapa:
Video Of The Year:
Katy Perry - Wide Awake
Gotye - Somebody That I Used To Know
Rihanna - We Found Love
Drake featuring Rihanna - Take Care
M.I.A. - Bad Girls
Best New Artist:
Fun. featuring Janelle Monae - We Are Young
Carly Rae Jepsen - Call Me Maybe
Frank Ocean - Swim Good
One Direction - What Makes You Beautiful
The Wanted - Glad You Came
Best Hip-Hop Video:
Childish Gambino - Heartbeat
Drake featuring Lil Wayne - HYFR
Kanye West featuring Pusha T, Big Sean & 2 Chainz - Mercyv
Watch the Throne - Paris
Nicki Minaj featuring 2 Chainz - Beez in the Trap
Best Male Video:
Justin Bieber - Boyfriend
Frank Ocean - Swim Good
Drake featuring Rihanna - Take Care
Chris Brown - Turn Up the Music
Usher – Climax
Best Female Video:
Rihanna - We Found Love
Katy Perry - Part of Me
Beyoncé - Love on Top
Nicki Minaj - Starships
Selena Gomez & The Scene- Love You Like a Love Song