$ 0 0 Mwili wa marehemu ukingia nyumbani kwao mbezi ya kimara kwa ajili ya ibada na sura ya mwisho .baada ya hapo kuzika ni saa 10 katika makaburi ya kinondoni.Gari lililobeba mwili wa marehemu PICHA ZOTE NA HYPERMAN HK.