Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana zinasema kuwa Majaliwa alifariki dunia muda mchache badae wakati akipatiwa matibabu hospitalini hapo kutokana na kuungua vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake. Hata hivyo mmiliki wa Nyumba iliyobomolewa madirisha hayo bado hajajulikana kutokana na kuwa bado inaendelea kujengwa.
↧
KIBAKA ALIYEKUWA NA UWEZO WA KUKABA WATU 10 PEKE YAKA AUWA KWA MOTO ALIENDA KUFIA HOSPITALA TIZAMA ALIVYOKUWA NA ROHO NGUMU..!
↧