Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

SIRI IMEFICHUKA SABABU YA CHID BENZ KUMPIGA MSICHANA WA ILALA KUMBE CHANZO MWANAMUZIKI HUYO ALIKUWA ANATAKA URODA KWA NGUVU..!

$
0
0


chidInasemekana April 20 Mwanadada Aisha Sued ambaye ni mkazi wa Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage amedai alishambuliwa na Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni hadi kushonwa nyuzi 18.
Tukio hilo ambalo inasemekana lilitokea moja kati ya Bar zilizopo Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka taarifa zilizopo toka usiku wa Pasaka mpaka sasa hivi Chidi Benz yupo chini ya Jeshi la Polisi kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya Aisha Sued.
Image00001Hata hivyo habari zaidi zilifika mezani kwa Xdeejayz zinasema kuwa kumbe sababu kubwa iliyopelekea mwanamuziki huyo kumpiga mwanadada huyo ni kutaka penzi kinguvu.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles