↧
PEPO MCHAFU AZIDI KUWAANDAMA WANAFUNZI DODOMA MWINGINE APIGA PICHA ZA UCHI...
Na Mwandishi wa XdeejayzPepo mbaya amezidi kuwatesa wanafunzi wa vyuo nchini kwa kujipiga picha za aibu tena kwa makusudi kisha kuzirusha kwenye mitandao kwa ajili ya kutafuta mabuzi ya kuyachuna.Picha...
View ArticleKESI YA LULU YAFUMUKA UPYA HUENDA AKARUDISHWA LUPANGO TENA, ITAENDESHWA KWA...
KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi...
View ArticleMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NASWA AKIJIUZA BARABARANI NI MSOMI WA CHUO KIKUU...
Ni aibu iliyoje? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu (jina lipo) ambaye pia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku mnene...
View ArticleSTYLE MPYA YA USHAHARIBU IMESHAANZA KUWABAMBA WATANZANIA - SNURA
Akiongea na blog hii hit maker wa wimbo wa majanga Snura Mushi amesema style yake mpya ya ya ushaharibu... imeshakuwa gumzo mtaani na kila siku anatumiwa picha za watu mbalimbali wakiweka ishara ya...
View ArticleWEMA NA DIAMOND
PICHA:WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ WAKILA BATA CLUB JANA USIKU Mbona ni Live live Sasa hakuna Tena Kikohozi...Kama hutaki Kajinyonge na Kamasi....Wema na Diamond Wakiwa Club Pale Runway...Niceee I...
View ArticleJAMBAZI SUGU LILILOTIKISA TARIME LAKAMATWA KIKOMANDOO NA POLISI, WANANCHI...
Mkuu wa jeshi la polisi nchinivia Imma Matukio — Jambazi mkuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014...
View ArticleMAGRAPHICS WA ULAYA BWANA ONA WALIVYOMDHALILISHA WENGA KWENYE MITANDAO..!
Kipigo cha bao tano cha jana kilimchanganya kabisa Arsene Wenger mpaka akapiga mweleka wa nguvu alipokuwa anaondoka katika mjio huo baada ya kutembezewa kichapo hicho ...Aibu ya Mwaka kwa Arsenal...
View ArticleINASIKITISHA ONA JINSI MADAWA YA KULEVYA YALIVYOWAFANYIA UNYAMA WATU...
GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI JUMATANO HII USIKOSE NAKALA YAKO KUJUWA MADHARA ZAIDI JUU YA MADAWA YA KULEVYA JINS YANAVYOMMALIZA STAA MMOJA MAARUFU NCHINI"
View ArticleNYAMA YA KITI MOTO YAMUHARIBU AFANDE HUYU ONA TUMBO LAKE LILIVYOJAA..!
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI JUMATANO HII USIKOSE NAKALA YAKO KWA SHILINGI MIA TANO TU"
View ArticleAIBU NZITO MREMBO MAARUFU AKABILIWA NA KASHFA MBAYA, HAKI YA MUNGU UKISIKIA...
Na Mwandishi Wetu DarBlog hii ya Xdeejayz na gazeti la Maskani Bongo linakusanya diteizi juu ya kashfa nzito inayomkabiri msichana mmoja mbae bado hajafahamika jina lake lakini anaishi maeneo ya Mbezi...
View ArticleSIRI YA MWANAUME ALIYEJINYONGA MKOANI MTWARA YAGUNDULIKA....!
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira ya...
View ArticleROSE MUHANDO MATESO MAKALI ABURUZWA POLISI KWA AIBU NZITO YA UTAPELI..!
Stori: Mwandishi WetuSTAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia...
View ArticleCHUCHU HANS NA RAY HADI KIFO KIWATENGANISHE WAWAONESHA WABAYA WAO JINS NGUVU...
Stori: Imelda MtemaMAMBO hadharani! Penzi ‘hoti’ la mastaa mahiri wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa sasa limekuwa kama la njiwa kwani mara nyingi kila sehemu wapo pamoja na...
View Article‘Cant Remember to Forget You’ Ya Shakira na Rihana Yadaiwa kuchochea vitendo...
anVideo ya wimbo wa Shakira ‘Cant Remember to Forget You’ aliyompa shavu mwimbaji mwenzake wa Caribbean, Rihanna imekosolewa vikali na mwanasiasa mmoja nchini Colombia anayefahamika kwa jina la Marco...
View ArticleWAREMBO WAZURI ZAIDI YA 800 KUONESHA UPENDO WAO NDANI YA CLUB MAISHA DAR...
Moja ya Zawadi zitakapozotolewa Jumamosi hii kwa wapendao ndani ya Club Miasha Dar zaidi ya warembo 800 wamealikwa huku Xdeejayz Drummer wakifanya yao live. Moja ya Zawadi zitakapozotolewa Jumamosi...
View ArticleGAZETI LA MASKANI BONGO LEO TAREHE 12, FEB, 2014, BI.HARUSI MTARAJIWA...
KWA HABARI ZAIDI KAMA KOPI YAKO MTAANI LEO JUMTANO.
View ArticleTAHADHARI KUBWA DAR: WAZUNGU WAINGIZA MAMILIONI YA EURO FAKE KUWAPIGA...
Hizi ni EURO Halisi KAMISHINA WA POLISI KANDA YA MAALUM DAR, SULEMAIN KOVA Hii ni EURO feki kama inavyoonekanaNa Mwandishi wa XdeejayzJeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni limeanza msako mkali wa...
View ArticleKUVUJA KWA PICHA CHAFU ZA NAIMA, WEMA SEPETU AHUSISHWA LENGO ILIKUWA NI...
Wema Sepetu akifurahia jambo na Manaiki Sanga "The Don"Na Mwandishi wa Xdeejayz DarKufuatia kuvuja kwa picha za ibu za aliyekuwa shoga yake Wema Sepetu kabla ya kutemana na Naima kuchukuliwa na...
View ArticleRAMBO AONESHAA JEURI YA PESA, AMBADILISHA MAMAAKE SURA KWA MAMILIONI YA...
Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji Sylvester Stallone aka Rambo ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.Mama huyu...
View ArticleMGANGA MAARUFU WA MASTAA NCHINI AZUSHA BALAA MKOANI TABORA WANANCHI WASHIKWA...
DK Kamdege akiwa kazini na zana za kazi, Mganga huyu amejichukulia umaarufu mkubwa nchini na nje ya nchi kwa tiba zake ambapo yeye hutumia miti shamba tu kumfanikishia mtu mambo yake tofauti na...
View Article