Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Browsing all 1682 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO MAMILIONI YA WATU WALIVYOMZIKA NELSON MANDELA, HATUTAONANA TENA...

Jeneza lenye mwili wa Mandela likielekea kwenye eno la mazishi katika kijiji cha Qunu mapema leoFamilia ya Mandela ikiwa mstari wa mbele akiwemo Winnie, Rasi Zuma na Graca Machele wakifuatilia mazishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWELI MANDELA HAKUWA MTU KAWAIDA, MAAJABU YATAWALA KWENYE MAZISHI YAKE,...

 Hapa Mwili wa Mandela baada ya kufariki. Na Mwandishi wa Xdeejayz-Afrika KusiniHatimae Nelson Mandela amepumnzishwa kwenye makao yake ya milele na kimsingi hatutomuona tena hadi siku ya mwisho kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI GWAJIMA NDANI YA KASHFA NZITO, WASAIDIZI WAKE WAMPIGA MWANDISHI WA...

 Eliasi Mokiwa mwandishi anaedaiw kupigwa akiwa kazini na walinzi wa GwajimaMchungaji Josephat Gwajima na wasaaidizi wake wameingia kwenye kashfa nzito ya kumshambulia mwandishi wa habari Mkoani Tanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBE FUMANIZI LA YOUNG DEE NA LULU LILIANDALIWA, POLISI WALIFANYA HARAKA...

Elizabeth Michael ‘Lulu’.Kwa mujibu wa habari hizo, wawili hao walinaswa wakifanya uchafu huo na askari waliokuwa doria lakini wakawavuta chobingo na baada ya muda, wakawaachia na kutokomea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA CLUB MAISHA MOROGORO WIKII HII, MBUNGE ABOOD NA RPC SHINOGILE NDANI!

Na Sakina Shabani MorogoroKamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Faustine Shinogile na Mbunge wa Morogoro Mh Abood wanatarajiwa kuwa moja ya  wageni rasmi watakaoalikwa kuhudhuria uzinduzi tawi la Club...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RICH MAVOKO KUMPOTEZA VIBAYA DIAMOND 2014-DOKTA KAMDEGE

 Dokta Kamdege mtaalamu wa Mitishamba na amekuwa kivutio kikubwa kwa mastaa waheshimiwa na wasanii mbalimbali Afrika mashariki na kati, huku akisaidia watu kupata pesa, kuolewa au kuoa kufanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NATAKA KUFIKA LEVO YA KIMATAIFA ZAIDI YA P SQUARE- MWANAMUZIKI D MANYUTI..!!!

Na Mwandishi WetuMwanamuziki Chipukizi kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Abdallah Ramadhani  Manyuti "D-Manyuti" anaetamba na wimbo wake mpya wa "Tamtam" amesema fikra zake kwa sasa ni za kimataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UEFA LIVE NDANI DTV ARSENAL VS BAYERN, MAN CITY VS BARCELONA WAHI MAPEMA...

Watu wengi wamekuwa wakisubiria siku ifike ili wajue timu yake itakutana na nani kwenye hatua ya mtoano kwenye uefa champions league 2013-2014. Mechi zitachezwa mwezi February 2014. Mabingwa wa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWELI MUNGU HAMTUPI MJA WAKE MR NICE HUENDA AKAUREJEA TENA UMILIONEA...

 Kwa Afrika Mashariki ukimzungumzia Mr.Nice Hakuna mtu atakaekuuliza ni nani,huyu ni moja kati ya wanamuziki waliofanikiwa kuiunganisha Afrika Mashariki kwenye muziki mmoja alioupa jina la Takeu Style...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA WACHEZA SHOO WA KUNDI LA KIBAO KATA WALIVYOINAJISI BIRTHADY...

 Qboy na Shettah Halima Kimwana na Mdogo wake Minaababy......!!! Dada lao,Queen darleen Hatarii..!!!"KESHO NDIO KESHO NDANI YA CLUB MAISHA MOROGORO NI UZINDUZI WA KIHISTORIA HAIJAWAHI TOKEA KAMANDA WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LA MASKANI BONGO LEO TAREHE 18 DESEMBA 2013: MISS UTALII ALIYEREKODI...

  Hii ni aibu kubwa jamaniNNa Na Shabani FugusaTAMAA ya maisha mazuri kwa haraka, yamesababisha madhara makubwa kwa mrembo aliyewahi kushiriki shindano la Miss Utalii mwaka jana, Fathiya Alfan baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HISTORIA MPYA YA BURUDANI KUANDIKWA UPYA KESHO KWENYE UZINDUZI WA CLUB MAISHA...

Mzuka ukipanda bwana raha sana hapa DJ Majizo akifanya yake kwenye mashine  Hawa ni  mashabiki waliofika Club Maisha DODOMA kwenuye show ya XTREME DJ LIVE DRUMMER. Je Morogoro kesho mtawafunika Dom kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA ALIYENUSURIKA KIFO KWENYE NDEGE JIJINI ARUSHA NI MCHUNGAJI ALIKUWA...

 Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) leo mchana  imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na hitilafu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA NDANI YA BIFU NZITO NA DIAMOND, MSANII HUYO AMWAMBIA MANENO YA...

Baby Joseph Madaha akipozi na Nasibu Abdul ‘Diamond’.MWIGIZAJI na mwanamuziki Bongo, Baby Joseph Madaha amemchana Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumwambia awatishie watoto wa Tandale kwani hana ubavu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUFUATIA MAUAJI YA KADA WA CCM, MWANAZA KIMENUKA VIBAYA VIJANA WAKIMBIA OVYO...

   Mwili wa Mabina baada ya kushambuliwa.Na Mwandishi Wetu, MwanzaBAADA  ya  mauaji ya Diwani wa Kata ya Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clement Mabina (pichani) yaliyotokea Desemba 15, mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA MWANAMUZIKI MBARAKA MWISHEHE ANUSA UMAUTI ANGALIA PICHA UONE...

MASIKU Mbaraka Mwishehe ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kinondoni, Dar es Salaam kwa madai ya kuwashambulia kwa kisu watu wawili wa familia moja.Tukio hili lilitokea hivi karibuni Mwananyamala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU AWATONESHA MASHABIKI WA KANUMBA ASHAURIWA AWE MAKINI KWA UROPOKAJI WAKE...

Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Na Waandishi Wetu SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY C AANIKA SIFA ZA MUMEWE MTARAJIWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI SOMA HAPA..!!!

Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray C alisema anahitaji mwanaume mtu mzima anayemzidi miaka kumi, anayejitambua na asiwe mwanamuziki kwani anaamini akiwa na mtu kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO MWENYEKITI WA CCM JIJINI MWANZA ALIVYOZIKWA NA UMATI MKUBWA WA...

Jeneza lenye mwili wa Clement Mabina likiwa mbele ya waombolezaji.Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Mabina kwenye uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.Padre akiongoza ibada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA OKWI UWANJA WA TAIFA HAIJAWAHI TOKEA, MASHABIKI WA SIMBA WAKATA...

Emmanuel Okwi akilakiwa na shabiki maarufu wa Yanga, Steven (kulia) katika uwanja wa ndege alipowasili. Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Okwi akiwasili jijini Dar akitokea Uganda kuungana na...

View Article
Browsing all 1682 articles
Browse latest View live