↧
Article 8
DIAMOND NA WASAFI NDANI YA THE SPORAH SHOW UK, MCHEKI HAPA Leo hii, baada ya kupia show kadhaa ndani ya London, UK, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na kipindi cha TV cha "The Sporah...
View ArticleWOSIA WA JIDE JUU YA RUGE MUTAHABA NA JOE KUSAGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesiNa bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi...
View ArticleFUMANIZI LA AIBU
=Habari kamili zilizonaswa na waandishi wetu ni kwamba mwanaume aliyetajwa kwa jina la Baba Asha alidai kumfumania rafiki yake wa karibu, Baba Tony akiwa gesti na mkewe (jina linahifadhiwa), tayari...
View ArticleHUYU HAPA SHABIKI MFUPI WA TAARAB KULIKO WOTE DUNIANI
Akiserebuka na dada yake. …Akiwa jukwaani amepozi na Khadija Yusufu.Mpenzi wa miondoko ya ‘rusha roho’ (taarab), Tausi Mdegela, ambaye alikuwa ni mfupi zaidi kuliko mashabiki wote waliojitokeza...
View ArticleVIBAKA WAKAMATWA BAADA YA KUTAKA KUWAIBIA MAJERUWI KWENYE AJALI
Hawa hapa vibaka ambao wanastahili adhabu kali sana kutokana na tabia zao mbaya, inapotokea ajali wao moja kwa moja wanataka kuiba na si kuwasaidia watu waliopata matatizo kwenye ajali hizo mtindo huu...
View ArticleWASTARA AKATAA KUOLEWA
MSANII wa filamu za Kibongo, Wastara Juma hivi karibuni alikataa kuolewa na kuwa mke wa pili baada ya kupigiwa simu na mwanamke mmoja jijini Dar akimtaka awe mke mwenzake.Wastara ambaye hivi sasa...
View ArticleMPIGIE KURA MSOUTH CATO KUWA BALOZI WA GROND MALT CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOM):
Bonyeza link hapo chini kisha mpigie kura :KATO LAWRENC 3RD YEAR UNIVARSITY OF DODOMA, CATEGORIL OF CULTURE AND ENTERTENMENT:PLZ MPIGIE KURA KATO LAWRENC A.K.A MSOUTH CATOILI AWAKILISHE VEMA CHUO...
View ArticleDTV KUONESHA MECHI YA MCHEZO WA RUGBY KATI YA RHINO'S YA ARUSHA NA DAR...
Kocha mkuu Jonathan T. wa timu ya Dar Leopard ya Jijini Dar akiwapa maelekezo wachezaji wake masaa machache kabla ya pambano la timu hizo. Wachezaji wa Dar Leopard wakitoka uwanjani baada ya mechi...
View ArticleHIKI NDICHO ALICHOKISEMA GADNER G HABASH BAADA YA LADY JAYDEE KUANDIKA WOSIA...
Gadna G Habash AKIONGEA NA MTANGAZAJI DAN CHIBO MTANGAZAJI WA TBC FM,NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWALeo nilipata nafasi ya kuzingumza na Gadan G Habash ambaye ni Meneja na Mume wa Mwanamuziki maarufu...
View ArticleHUKUMU YA SHEKHE PONDA SASA KUTOLEWA ALHAMISI IJAYO...
Shekhe Ponda Issa Ponda.Kesi ya uchochezi na wizi wa mali zenye thamani ya Sh milioni 59, inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Issa Ponda na wafuasi wake 49, jana ilitajwa kwa...
View ArticleTAARIFA KUHUSU CHANZO CHA KANISA LA RC KULIPUKA LEO JIJIN ARUSHA MAENEO YA...
HABARI YA MLIPUKO-ARUSHA: CHANZO KINASEMA, BOMU HILO LIMELIPUKA WAKATI WAUMINI WA KANISA HILO LA KATOLIKI WAKIENDELEA NA SHEREHE ZA UZINDUZI WA KANISA HILO JIPYA JIJINI ARUSHA NA MPAKA SASA HAIJAWEZA...
View ArticleBARNABA NA LINAH WA THT WAITOLEA NJE SHOW YA LADY JAY DEE
Linah na Barnaba wameiambia Bongo5 kuwa hawatakuwepo kwenye show ya miaka 13 ya muziki ya Lady Jaydee itakayofanyika May 31, kwa kile walichodai ni kutoafikiana kwenye malipo. Wamesema licha ya...
View ArticleMBUNGE WA ARUSHA MH GODBLESS LEMA ATEMBELEA KANISA LILILORIPULIWA HUKO...
hili ndio kanisa lililolipuliwa na bomu leo asubuhi Godbless Lema ambaye ni mbunge wa arusha ametembelea eneo la kanisa lililolipuliwa na kuwafariji wahanga wa tukio hilo..... Akiongea...
View ArticleSUMA MNAZALETI AAMUA KUMUUNGA MKONO LADY JAYDEE KWENYE SAKATA LAKE LA RUGE NA...
Mkali wa miondoko ya bongo fleva anatamba na ngoma yake kali aliyomshirikisha OMMY DIMPOZI chukua tyme SUMA MNAZALETI ameyasema maneno hayo leo kwa njia ya masseji Alisema'' ebana nadhani unajua nini...
View ArticleBABA ASIMULIA ALIVYONUSURIKA KIFO NA MWANAE, ASEMA ALIONA BORA AFE YEYE...
Baba akiwa amemkumbatia mtoto wake, Mazazi huyo alisema aliona bora afe yeye lakini mwanae apone. Babu akiwa chini huku biblia yake pembeni akishindwa kuamini kilichotokea.Huku kulia Mama akiinua...
View ArticleRUGE APIGA MARUFUKU NYIMBO ZA BONGO FLEVA KUPIGWA CLOUDS FM SIKU NZIMA YA LEO
Akizungumza kupitia kipindi cha Power Breakfast, Meneja wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ameelezea yafuatayo kuhusiana na tuhuma zilizotolewa na msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ wiki...
View Article