Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

DIAMOND AENDI KWENYE SHOW BILA YA BARAKA ZA MAMA YAKE PIA AKANYAGI STEJINI BILA YAKUBUSU ARDHI YA STEGI

$
0
0

 


Mkali DIAMOND PLATNUM akipata baraka kutoka kwa mama yake mzazi kabla yakwenda kufunika kwenye show ya uzinduzi wa video ya me and you. huo ndio umekuwa utaratibu wake kutokana na kumkubali sana mama yake mzazi ameamua kumpa heshima hiyo ya kumpa dua kabla ya kutoka kwenda kwenye tamasha pia mie kama mie nimeshamshuhudia mkali huyo mara kazaa akiwa anataka kupanda kwenye stage lazima abusu ardhi ya stegi ndio apande kwenye stage. hii ni kwa wasanii tofauti kwa mfano nilishamuona ROMA akiweka alama ya msalaba kabla yakupanda kwenye stage.nahisi hii ni kama utaratibu waliojiwekea wasanii wa bongo fleva, tanzania.

DIAMOND na madansaa wake kwa pamoja wakipewa baraka na mama diamond platnum


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles