Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya."GAZETI LA MASKANI BONGO NI ZAIDI YA GAZETI HAKIKISHA UNAPATA KOPI YAKO MAPEMA KILA JUMATANO"