$ 0 0 Nakereka sana na baadhi ya wafanyakazi wanaotumia ofisi zao kufanya mapenzi. Wanakaa muda mrefu wakisubiri wenzao watoke ofisini wala hawaangalii kama wanyakazi wengine wapo