Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

MKUU WA WILAYA KINONDONI AWEKA HISTORIA MPYA, VIJANA SASA UMASKINI BYE BYE. ALIYEKUWA HANA KAZI AENDE SASA HIVI OFISINI KWAKE AKALE SHAVU..!

$
0
0


 

Filamu mpya ilisheheni mastaa zaidi ya 30 iitwayo Wake Up inatarajia kutoka mwezi wa nane ebu bofya hapo kuiona demo yake

NA MWANDISHI WETU
MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AMBAE NI KIJANA MDOGO AMEELEZEA MIPANGO YAKE YA KUWAINUA VIJANA WA WILAYA YAKE NA KUWAFANYA WAPATE AJIRA MBALIMBALI ZITAKAZOWAFANYA WAJIKWAMUE NA MAISHA.
AKIZUNGUMZA KWENYE KITUO PENDWA CHA E-FM RADIO MKUU HUYO ALITOA UWITO KWA VIJANA WOTE WENYE VYETI VYA KUMALIZA ELIMU YA KUANZIA KIDATO CHA NNE WAFIKE OFISINI KWAKE ILI AWEZE KUWAORODHESHA KWA AJIRI YA KUWAPATIA AJIRA.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles