Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

MAAJABU MAKUBWA: ANGALIA KILICHOMALIZA BIFU LA HEMED NA MLELA ANGALIA WALICHOKIFANYA HAPA, MASHABIKI WA BONGO MOVIE WAKUNWA...!

$
0
0
 Hii ndio filamu ya Wake Up iliyomaliza bifu la wasanii Hemed na Mlela ebu bonyeza uione live bila king'amuzi
  Wasanii Hemed na Yusuph Mlela walipokutana uso kwa uso wakati wakiigiza filamu ya Wake Up iliyosheheni mastaa zaidi 30
  Msanii Yusuph Mlela



 Msanii Manaiki Sanga
Lile bifu lililokuwa limeshika kasi kubwa kati ya wasanii wenye majina hapa mjini Yusuph Mlela na Hemd Suleiman hatimae bifu hilo limekweisha kabisa baada ya wasanii hao kuamua kuweka silaha chini na kuungana kutengeneza filamu moja iitwayo Wake Up ya msanii mwenzao Maniki Sanga ambayo inatarajia kuachiwa mwanzoni mwa mwezi ujao huku Kampuni ya Steps ikisimamia kuisambaza.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles