Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

JAMANI MAIMARHA UTAANZA LINI UTAPELI MBONA WAJITIAN AIBU WEWE? WANANCHI WALALAMA..!

$
0
0



SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo anazoziuza kuwa hazifanyi kazi.
Sosi ameibua utapeli huo wa Maimatha kwa kusema:
“Maimatha anatapeli watu na dawa zake, yaani tumepaka mabinti wengi hazitusaidii chochote, ni wizi mtupu, laki mbili bila chochote kweli roho inauma.”
Maimatha Jesse.
  Baada ya kunyaka madai hayo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Maimatha akakanusha: “Hao wamejisikia tu kuongea hata siwafahamu na wala sijawahi kupata kesi kama hizo, mbona nilishawauzia wengi? Mimi mwenyewe zimenisaidia, wazushi tu,” alisema Maimatha

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles