Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

JE WEWE MSANII MCHANGA MWENYE KIPAJI CHA KUIGIZA? BASI HUU NI WAKATI WAKO MTAFUTE MZEE MAGALI HARAKA AKUPE SHAVU..!

$
0
0
Hi ni nafasi adhimu kwa wasanii wachanga wenye vipaji na hawana msaada nafasi hii ni maalum kwa ajili yao ambapo msanii mkongwe nchini Mzee Magali akishirikiana na mama mjasiriamali aliyejitambulisha kwa jina la
NURU PROCHES. ambapo wale wote waliokuwa tayari wapige simu watapatiwa maelekezo zaidi  0719-607577` 0656-700090 Mchakato huu ni kwa mkoa wa Dar tu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles