Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Sikiliza jinsi ‘Mchepuko’ ulichowafanya Wanandoa hawa wa ndoa mbili tofauti

$
0
0

arc-10 closeup
Eeh bwana stori za mtaani kwenye idara ya Hekaheka ni ishu ya kufuamaniwa kwa wanandoa wa ndoa mbili tofauti yaani upande huu kuna Mwanamke aliyeolewa na Mumewe na huku kuna Mwanaume aliyeoa na ana familia yake.
Sasa ishu ni kwamba wamefumaniwa na hii imetokea Jumapili ya wiki iliyopita Kawe Dar es salaam,wakati huo huo jamaa alishawahi kumpa taarifa mkewe kuhusu mashaka na jamaa huyo ingawa alikataa sasa kilichotokea baada ya kufumaniwa kisikilize hapa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles