Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

MAZOEZI YA MISS DAR CITY CENTER NDANI YA CLUB MAISHA NI BALAA ANGALIA WATOTO WAZURI HAIJAWAHITOKEA PICHA HIZI HAPA..!

$
0
0

 Hawa ni baadhi yao tu Miss Dar City Center 2014 wanaofanya mazoezi yao kwenye kiota cha burudani Bongo...




 Hapa kazi kazi ni warembo hao wakifanya mazoezi makali ili kuleta burudani ya ukweli siku ya shindano.

Shindano la kumtafuta Miss Dar City Center 2014 litafanyika katikati ya mwezi ujao na tayari zaizi ya warembo 30 wameweka kambi ndani ya Club Maisha Dar huku wakiwa kwenye mazoezi makali.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles