Duh ukiona hivi unaweza kudhani kama wanaigiza lakini ndiyo ukweli hapa ni kijana wa kabila la wabukusu ambalo lipo magharibi mwa Kenya akitatwa nyeti zake tena bila ganzi na hatakiwi kulia endapo atadondosha machozi basi atatengwa na wanaume wenzake. CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA