Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

HOMA ZA MARA KWA MARA KWA WASTARA ZAANZA KUWATIA SHAKA MASHABIKI WAKE, HAIPI WIKI BILA KULAZWA KULIKONI?

$
0
0
 MKONO WA WASTARA UKIWA NA BANDEJI
 HAPA WASTARA AKIWA KITANDANI HOI

 VIPIMO

WASTARA AKIWA NA MWANAE

 Na Sakina Shabani ripota wa Xdeejayz Tanzania " XDTZ"
Homa za mara kwa mara zinazomsumbua msanii aliyepitia misukosuko mingi katika maisha yake Wastara zimeanza kuwatia shaka mashabiki wa msanii huyo kiasi cha kuchanganyikiwa.
Wakizungumza na Xdeejayz Tanzania walisema" Hakika kuugua kwa mara kwa mara kwa Wastara kuna tutisha na kututia shaka hivyo tunamuomba Mungu ampunguzie matatizo msanii wetu kwani bado tunahitaji aendelee kuwa na afya njema ili atuhufurahishe" Alisema mama Ngasa wa Moshi
Xdeejayz Tanzania imepata picha za msanii huyo akiwa amezidiwa kitandani huku akiwa na mtoto wake aliyezaa na marehemu mumewe Juma Kilowoko.
CREDIT: XDEEJAYZ TANZANIA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles