Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

SHILOLE AWAKANA VIGOGO WA UNGA NCHINI, ASEMA KAMA WALIKUWA NA MPANGO WA KUMTUMIA IMEKULA KWAO..! ANGALIA HAPA.!

$
0
0
MWANAMUZIKI SHILOLE
Na Laulant Samata
Mwanamuziki homa ya jiji kwa sasa Shilole amfunguka na kusema kamwe katika maisha yake hawezi kutumika punda wa kubeba mzigo yan madawa ya kulevya.
Akizungumza na gazeti pendwa namba moja Tanzania Maskani Bongo msanii huyo alisema" Kumekuwa na taarifa mbaya juu ya safari zangu nje ya nchi ambapo watu wengi wanadai kuwa huenda natumiwa na vibopa wa madawa ya kulevya kumbe sio kweli mimi nilishakula kiapo mbele ya mwenyezi mungu kuwa nitajipatia pesa zangu kwa jasho langu hadi tone la mwisho si vingenvyo.
HABARI ZAIDI PATA KOPI YA GAZETI LA MASKANI BONGO LEO JUMATANO MTAANI.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles