Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

RADIO MPYA YATIKISA BUNGE LA KATIBA DODOMA YAINGIZWA KWENYE HISTORIA YA MIAKA HAMSINI IJAYO, ANGALIA HAPA KILICHOTOKEA..!

$
0
0
 Waheshimiwa Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Mpya wakiwa mjengono Dodoma
  Profesa Ibrahim Lipumba na Zitto Kabwe wakiwa Bungeni kujadiliana mambo kuhusu Katiba Mpya.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Mizengo Pimba akiteta jambo na wajumbe.
Ujio wa kituo kipya cha Radio chenye namba 93.7 fm Dar Es Salaam kimeingia kwenye histori ya aina yake kufuatia kuja wakati wa mchakato wa kuwa na Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hivyo ujio wa radio hiyo mpya inayosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya wananchi ni kama mipango ya Mungu kwani itaingizwa kwenye kumbukumbu kama imekuja wakati muafaka wa upatikanaji wa katiba hiyo mpya inayoendelea kujadiliwa huko Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles