Quantcast
Channel: ::XDEEJAYZ-TANZANIA::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

NOTI YA SH 500 YA LOWASA YAZIDI KUSAMBAA MTANDAONI, YEYE ASISITIZA HAUSIKI NA TUKIO HILO..!

$
0
0

Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mhe. Edward Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya kijamii.
Kumesambazwa picha ya noti ya shilingi mia tano yenye picha ya Mhe. Lowassa. Kitendo hicho siyo utani, bali ni dhihaka na dharau kwa alama za Utaifa na Mamlaka ya nchi. Lowassa Amesema hajui na wala ahusiki na usambazaji wa Noti hiyo MitandaoniMhe. Lowassa anaheshimu maoni ya watu na nguvu ya mitandao ya kijamii, lakini anasisitiza umuhimu kwa wananchi kutumia nguvu hiyo ya mitandao kwa kujadili maendeleo ya nchi yetu badala ya kuwa watu wa kuzusha mambo yasiyo na tija kwa nchi yetu.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mhe. Lowassa (MB) 
"CLUB MAISHA DAR WIKI HII HAPATOSHI NI SHOW YA AINA YAKE XTREEM DEEJAYZ KUSHUSHA BALAA KUBWA"

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1682

Trending Articles